HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 18, 2024

TCAA YAFANIKIWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUPITIA MAONESHO ZANZIBAR


Mkuu wa Kitengo cha huduma za Viwanja Vya Ndege kutoka Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC) Thamarat Abeid akitoa elimu wanafunzi wa Skuli ya Sky View kuhusu kazi zinazofanywa na TCAA katika Banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Afisa Habari na Masoko Mwandamizi Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) Ally Changwila akitoa elimu kwa wanafunzi kuhusu kozi zinazotolewa na Chuo hicho katika Banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha huduma za Viwanja Vya Ndege kutoka Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC) Thamarat Abeid akitoa elimu kwa Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) Tawthida Jabu alipotembelea Banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Afisa Habari na Masoko Mwandamizi Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) Ally Changwila akitoa elimu kuhusu namna ya kujiunga na Chuo hicho kwa wananchi waliotembelea Banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha huduma za Viwanja Vya Ndege kutoka Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC) Thamarat Abeid akitoa elimu kwa Askari kuhusu kozi zinazotolewa na Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC) katika Banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Wananchi wakiendelea kupata elimu katika Banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Afisa Habari wa TCAA Dickson Mulashani akitoa elimu ya matumizi sahihi ya ndege nyuki (drones) kwa mdau wa usafiri wa anga alipofika katika Banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad