HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 18, 2024

TANZANIA YAHUDHURIA MKUTANO KIMATAIFA KUJADILI FURSA NA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA ANGA


Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (MB), akifuatilia mkutano wa kimataifa wa mawaziri wa Usafiri wa Anga huko Hyderabad, India. Mkutano huo unajadili fursa na changamoto za sekta hiyo. Waziri Mbarawa ameandamana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga la Tanzania (TCAA), Bw. Hamza Johari


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad