HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 26, 2024

RAIS DKT. MWINYI AZINDUA RASMI JEZI YA TIMU YA TAIFA YA ZANZIBARRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, leo amezindua rasmi Jezi ya Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) zilizotengenezwa na mbuifu wa mitindo nchini, Sheria Ngowi kwa udhamini wa Benki ya CRDB, katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Viwanja vya Nyamanzi, Uguja Zanziar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad