HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 29, 2024

PPRA KUWAFUNDISHA WABURUNDI MFUMO WA NeST

  
Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA Bw. Eliakim Maswi (kati), Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma ya Burundi (ARMP) Bw. Nduwimana Cloude (kulia kwake) na Viongozi waandamizi wa ARMP wakiwa Makao Makuu ya PPRA Dodoma kwa ziara ya kujifunza kuhusu mfumo wa Ununuzi wa umma kielektroniki (NeST) leo Januari 29, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad