HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 27, 2024

MERIDIANBET YATOA MIAMVULI KWA WAFANYABIASHARA MBAGALA

JUMAMOSI ya leo timu nzima ya meridianbet ikiongozwa na Nancy Ingram walifika Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa miamvuli kwa wafanyabiashara wadogowadogo.

Ikumbukwe kuwa jijini Dar es salaam bado hali ya hewa haijakaa kwa kutulia mara leo hii mvua inanyesha kesho hainyeshi, kwahiyo kutokana na hilo Meridianbet wameona kuna haja ya kutoa miamvuli hiyo kwa wafanyabiashara hao kwaajili ya kujikinga na mvua.

Meridianbeti magwiji wa ODDS KUBWA Tanzania hii ni mara ya pili wanagawa miamvuli hiyo kutokana na uhitaji mkubwa wa wafanyabiashara wa eneo hilo na uwingi wa watu pia umefanya warejee eneo hilo.

Miamvuli hiyo pia itawasaidia kuwakinga na jua endapo kutakuwa na jua kali hasa mida ya mchana.

Pia kumbuka kubashiri na meridianbet mechi za leo kuanzia pale BUNDESLIGA, LALIGA, SERIE A, na nyingine nyingi utusue mpunga wa maana umalize wikendi yako vizuri kabisa. Ingia meridianbet sasa na ubashiri.

Zoezi hilo lilianza mapema kabisa ambapo timu ya meridianbet ilifika eneo husika na kuanza kutoa miamvuli hiyo huku kila mfanyabiashara wa eneo hilo akitaka kupata mwamvuli wake peke yake.

Wakati wa kutoa miamvuli hiyo, muongozaji wa msafara ambaye ni Mhariri wa meridianbet Bi Nancy alisema kuwa lengo la kurudi Mbagala Rangi 3 ni kutokana na uhitaji kuwa mkubwa zaidi kulingana na maeneo mengine hivyo ilikuwa muhimu kwa wao kurejea tena.

Na baada ya kupokea miamvuli hiyo wafanyabiashara wa eneo hilo walifurahi sana meridianbet kufika eneo hilo na kuahidi kwamba watatumia meridianbet kufanya ubashiri kujipatia pesa kila siku kwani wamesikia mazuri sana kwenye kampuni hii nje na ndani.

Meridianbet wamesema hili ni zoezi endelevu na watapita maeneo yote ya jiji la Dar es salaam kutoa kile ambacho watajaaliwa kwaajili ya watu wenye uhitaji mkubwa.

Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad