HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 21, 2024

LIVERPOOL, BARCELONA, JUVENTUS KUKUPATIA PESA LEO

 

JUMAPILI ya leo ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea huku meridianbet wao wakiwa tayari wamejipanga vilivyo kuhakikisha kuwa wanakupatia kile ambacho wewe unakitaka. Ukitaka ODDS KUBWA, Machaguo mengi yapo bashiri sasa.

Tukianza na ligi pendwa Duniani, EPL itapigwa michezo miwili leo hii ambapo mchezo wa mapema utakuwa ni kati ya Sheffield United dhidi ya Westham United ya David Moyes. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii amepewa Mgeni kw a ODDS ya 2.35 kwa 3.09. Mara ya mwisho kukutana Wagonga nyundo walishinda. Je leo hii nani atashinda. Bashiri sasa mechi hii na meridianbet.

Mechi nyingine ni kati ya vinara wa ligi Liverpool ambao watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Bournemouth ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.21 kwa 1.69. Jogoo anahitaji ushindi ili aendelee kujiimarisha kileleni. Je mwenyeji atamzuia?. Beti hapa.

Ukiachana na ligi, pia kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo unaweza kucheza na kupata pesa papo kwa hapo. Michezo hiyo ni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Napo kule Italia SERIE A itaendelea hii leo kwa michezo ya kukata na shoka, Frosinane Calcio atakuwa mwenyeji wa Cagliari ambaye mechi ya mwanzo walipokutana alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 2.35 kwa 2.94. Nani kuondoka na ushindi leo?

Wakati Empoli yeye atakiwasha dhidi ya Monza na timu zote zimetoka kupoteza mechi zao zilizopita. Hivyo leo kila timu inahitaji kushinda. Mwenyeji amepewa ODDS ya 2.60 kwa 2.65. Suka mkeka wako sasa.

Mechi ya mwisho kwa leo kule Italia itakuwa ni kati ya US Lecce dhidi ya Juventus ambao wakishinda leo watakaa kileleni kwenye msimamo wa ligi. Bibi Kizee kushinda amepewa ODDS 1.76 kwa 5.06. Allegri ataongoza ligi leo?. Jisajili na ubeti sasa.

Mechi zingine za pesa zipo huku LALIGA ambapo Real Madrid atamualika UD Almeria ambaye mechi iliyopita alitoa sare, na ni kibonde wa ligi hadi sasa. Real kushinda ana ODDS 1.13 kwa 16.66. Je Madrid ya Ancellotti itashinda ngapi?

Saa 2:30 Real Betis Seville atacheza dhidi ya FC Barcelona huku meridianbet wakimpa Barca nafasi ya kuchukua pointi tatu kwa ODDS 1.81 kwa 3.92. Mara ya mwisho kukutana vijana wa Xavi walishinda. Je leo hii Betis atalipa kisasi? Suka mkeka sasa.

Nao Girona watashuka dimbani leo saa 5:00 usiku kucheza dhidi ya Sevilla ambaye anajitafuta sana msimu huu yani amepoteana ambapo amaepewa 4.41 kushinda mchezo huu na mwenyeji wake amepewa 1.72. Tofauti ya pointi kati yao ni 33. Beti sasa.

Ligi nyingine ni ile ya Ujerumani, BUNDESLIGA ligi yenye magoli na bingwa mtetezi Bayern Munich atakuwa Allianz Arena kucheza dhidi ya Werder Bremen. Mara ya mwisho kukutana vijana wa Thomas Tuchel na vijana wake walishinda. Je leo kwa ODDS ya 1.08 ya Munich na 22.54 ya Bremen nani kushinda.

Mechi ya mwisho kwa leo Ujerumani ni kati ya Borussia Monchengladbach dhidi ya Augsburg ambaye yupo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Borussia kushinda ana ODDS 1.96 kwa 3.57. Bashiri na meridianbet mechi hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad