HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 13, 2024

JUMAMOSI YA KUKWAPUA MPUNGA NA MERIDIANBET NI LEO

 


HUKU hali ya hewa jijini Dar es salaam ikizidi kuwa ya kuvutia kabisa, na joto likipungua kwa kiasi chake ndipo meridianbet wanakwambia huu sasa ndio wakati wa kusuka mkeka wako kwa dau lako ulitakalo. Mechi zipo kibao kuanzia EPL, BUNDESLIGA, LALIGA, LIGUE 1, SERIE A na zingine kibao.

Basi leo macho yangu yameanza kutazama ligi pendwa kabisa EPL, ambapo leo itapigwa michezo miwili pekee na mchezo wa mapema sana ni ule saa 9:30 wa vijana wa Darajani Chelsea dhidi ya Fulham. Mara ya mwisho kukutana The Blues walishinda. Je leo hii mgeni kulipa kisasi. Mechi hii imepewa ODDS 1.60 kwa 5.29. Bashiri sasa.

Mechi nyingine ya Ligi kuu ya Uingereza ni kati ya wenyeji Newcastle dhidi ya Manchester City majira ya saa 2:30 usiku. Mechi ya mkondo wa kwanza Pep Guardiola na vijana wake waliondoka na ushindi mwembamba. Eddie Howe kushinda mechi hii amepewa ODDS 5.09 kwa 1.59. Wewe beti yako unaiweka wapi?

Sasa tunaham ligi hiyo yunatua pale LALIGA, Uhispania ambapo Jumamosi ya leo mechi kibao zitapigwa katika viwanja mbalimbali ambapo UD Las Palmas atakuwa mwenyeji wa Villarreal huku wote wakiwa wamepoteza mechi zao zilizopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 6. Bashiri na meridianbet sasa.

Ukiachana na michezo ya Ligi meridianbet pia inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Huku saa 2:30 Athletic Bilbao watakiwasha dhidi ya Real Sociedad San Sebastian, huku ushindi wa mwenyeji utampleka hadi nafasi ya 3. Bilbao amepewa ODDS 2.02 kwa 3.87. Suka jamvi lako sasa.

Usiku kabisa wa leo hapa nazungumzia saa 5:00, Real Betis ambaye yupo nafasi ya 7 atakuwa mwenyeji wa Granada ambaye yupo nafasi ya 19. Mgeni kwenye mechi ambazo kacheza kashinda mbili pekee. Je leo ataambulia nini? Mechi hii imepewa ODDS 1.67 kwa 4.80. Jisajili Sasa.

SERIA A, nayo itatimua vumbi ambapo saa 11:00 jioni bingwa mtetezi Napoli ambaye amekuwa hana mwenendo mzuri atakuwa pale Diego Armando Maradona atakiwasha dhidi ya US Salernitana ambao ndio vibonde wa ligi. Wote wametoka kupoteza mechi zao zilizopita. Nani leo kuondoka na pointi 3? Beti sasa.

Saa 2:00 naye Hellas Verona ataumana na Empoli FC huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1. Walipokutana mara ya mwisho Verona alishinda. Je mgeni kulipa kisasi leo? Suka mkeka wako na meridianbet.

Mechi kumaliza Jumamosi itakuwa ni ile ya kinara wa ligi Inter Milano dhidi ya AC Monza ambaye amepewa ODDS 6.66 kwa 1.46. Milana nataka ushindi huu leo azidi kujiimarisha kileleni. Je Mwenyeji atamzuia?. Tandika jamvi lako sasa.

Ligi ya Ufaransa nayo LIGUE 1 kitawaka haswa ambapo AS Monaco atakiwasha dhidi ya Stade Reims huku mechi hii ikipewa ODDS nono sana. Ingia na ujionee nani anakupatia mkwanja leo. Mechi ya mwisho kukutana, Monaco alishinda. Beti sasa.

Huku saa 5:00 usiku kutakuwa na mechi ya Stade Rennes dhidi ya OGC Nice ambaye kapewa ODDS 3.09 kwa 2.36. Tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 16. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 na mgeni wa 2. Suka mkeka wako kijanja hapa.

Hadubini yangua sasa inaenda kumulika ligi ya Ujerumani, BUNDESLIGA mabyo nayo itaendelea hii leo kwa michezo mingi ya kukupatia, RB Leipzig atakipiga dhidi ya Eintracht Frankfurt ambaye yupo nafasi ya 6. Mara ya mwisho walipoonana RB alishinda. Nani kuibuka na ushindi leo? Beti sasa.

Union Berlin atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya SC Freiburg huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 11. Mwenyeji amepewa ODDS 2.07 kushinda mechi hii huku mgeni akipewa 3.43. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Naye kinara wa bundesliga Bayer Leverkusen atakuwa mgeni wa FC Augsburg ambaye amepewa ODDS 6.66 kushinda leo hii. Vijana wa Alonso ,mechi ya kwanza walipasuka. Leo watalipa kisasi?

Mechi ya mwisho leo hii Ujerumani ni hii inayowakutanisha Borussia Dortmund dhidi ya SV Darmstadt ambaye ndiye kibonde wa ligi. Borussia kushinda na ODDS 1.52 kwa 5.29. Suka jamvi hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad