HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 25, 2024

HUYU NI KAMARIA WA KASINO NAMBA MOJA DUNIANI| SHINDA MKWANJA NA EPIC JACKPOT

 


KATIKA ulimwengu huu wenye matajiri wengi bado kuna watu wanatanua na kula maisha kwa namna tofauti. Huko nchini Australia kuna mfanyabiashara mmoja na tajiri mkubwa ambaye aliingia kwenye vitabu vingi kwa kuwa gwiji wa kucheza kasino mtandaoni.

Kerry Packer anaweza kuwa mtu tajiri zaidi nchini Australia kupitia himaya ya biashara za familia yake kwenye upande wa vyombo vya habari, lakini ni mcheza Kamari haswa kasino mtandaoni ambaye daima atakumbukwa. Hii ni kwa sababu Packer daima alikuwa akicheza kiasi kikubwa.

Kerry Packer anafahamika zaidi kwa uchezaji wake wa kutumia kiasi kikubwa kwenye michezo ya kasino mtandaoni huku akiwa amapoteza kiasi kikubwa kwenye michezo hiyo. CHEZA KASINO.

Tajiri huyu na kamaria gwiji anatukumbusha ushindi wa kamaria mwingine wa Meridianbet Kasino, M.V kutoka nchi ya Montenegro aliyepiga mkwanja kiasi cha TZS 550,000,000/= kwenye Epic Jackpot inayopatikana katika michezo ya sloti na kasino mtandaoni.

Hata hivyo rekodi maarufu ya Kerry Packer inayotambulika sana ni kiasi alichopoteza ndani ya miezi kumi takribani dola milion 40 kuanzi septemba 1999 mpaka Juni 2000 kwenye kasino za Crockford London na Bellagio Las Vegas.

Kwa bahati nzuri kwa Packer, pia alikuwa na nyakati za kufurahisha mara kwa mara. Labda mafanikio makubwa zaidi ya kamari yalikuja mwezi Mei 1995 aliposhinda dola milioni 20 ndani ya dakika 40 kwa kucheza michezo kadhaa ya blackjack yenye dau la $250,000 kwa wakati mmoja.

Packer alifariki 26 Desemba 2005 huko Sydney Australia akiwa kando na familia yake, kifo chake kilitokana na figo kushindwa kufanya kazi, atakumbukwa kwa mengi ikiwemo uhidari wake wa kutumia madau makubwa kucheza kasino mtandaoni.

Kuwa moja kati ya washindi wengi wa kila siku wanaocheza kasino mtandaoni, Kupitia michezo ya sloti unaweza kuibuka mshindi wa Jackpot ya Epic na kukusanya kitita cha mamilioni. JISAJILI MERIDIANBET.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad