HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 17, 2023

JUMAPILI YA KIBABE ITAFUNGWA PALE ANFIELD LEO

 

JUMAPILI ya leo ina michezo mingi mikali kuanzia Uingereza, Hispania, Ujerumani, Italia, na hata kule Ufaransa lakini macho yote yatakua pale Anfield kushuhudia mchezo wa kibabe kabisa kati ya Liverpool wenyeji wakiwakaribisha Man United.

Mchezo huu wa kukata na shoka kabisa umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet na unaweza kumuwezesha mteja wa kuweza kupiga mkwanja wa kutosha, Liverpool wakiwa kwenye ubora wao wanakwenda kucheza dhidi ya Man United ambayo inaonekana haipo kwenye kiwango ubora.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mchezo kati ya Liverpool na Manchester United haujawahi kupimwa kutokana na fomu ya mpinzani mmoja, Kwani mchezo huu umekua na upinzani mkubwa sana kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja hivo inawezekana mmoja asiwe kwenye kiwango bora lakini akaibuka kidedea kwenye mchezo huu.

Liverpool wanakwenda kwenye mchezo huu wakipewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda mchezo huu wakati huohuo wakiwa vinara wa ligi kuu ya Uingereza, Lakini kama ambavyo nimetangulia kueleza mchezo huu hua hauangalii nani yupo kwenye kiwango bora kwakua ni mchezo wa mahasimu anaweza kufungwa yeyote wakati wowote bila kuzingatia fomu ya timu yeyote.

Rekodi zinaibeba Liverpool kuelekea mchezo haswa katika uwanja wao wa Anfield ambapo hawajapoteza mchezo wowote wa ligi kuu ya Uingereza katika uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Man United tangu mwaka 2015, Lakini mchezo huu pia unaweza kuwapa nafasi Man United kuvunja rekodi hiyo iliyodumu kwa muda mrefu.

Michezo mingine kadhaa leo Jumapili inatarajiwa kupigwa ambapo Arsenal watashuka dimbani wakiwa nyumbani pale Emirates kumenyana na Brighton, nchini Hispania Real Madrid watakipiga na Villarreal katika dimba la Santiago Bernabeu, Pale Italia Lazio watacheza na vinara wa ligi kuu ya Italia klabu ya Inter Milan, Bayern Leverkusen watashuka dimbani kumenyana na Eintracht Frankfurt na michezo yote hii imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet weka mkeka wako ujipigie mkwanja wa kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad