HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 30, 2023

EPL IMEREJEA KWA KISHINDO PIGA MKWANJA NA MERIDIANBET

 

LIGI kuu ya Uingereza leo Jumamosi inarejea tena na itapigwa michezo kadhaa yenye mvuto kwelikweli, Huku wateja wa Meridianbet wakiwa na nafasi ya kujishindia mkwanja kupitia michezo hiyo itakayopigwa kwenye viwanja tofauti tofauti nchini Uingereza leo.

Kupitia michezo ambayo itaendelea leo mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wameweka ODDS KUBWA na za kibabe katika michezo hiyo, Hivo inatoa fursa kwa wateja wao kuweza kushinda mkwanja kiurahisi zaidi.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Manchester United baada ya kupindua meza kibabe katika mchezo uliopita dhidi ya klabu ya Aston Villa, Leo watashuka dimbani tena kwenda kukipiga dhidi ya klabu ya Nottingham Forest ambao nao wapo kwenye fomu ya hali ya juu kwasasa.

Klabu ya Chelsea ambayo imetoka kushinda mchezo wake uliopita leo watakua ugenini kukipiga na klabu ya Luton Town ambao wameonekana kufufuka na kufanya vizuri hivi karibuni, Hivo mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye mvuto mkubwa.

Manchester City leo watakua nyumbani kukipiga dhidi ya klabu ya Sheffield United baada ya kufanikiwa kupata ushindi katika mchezo uliopita dhidi ya Everton ikiwa ni baada ya kupitia kipindi kigumu kidogo katika ligi kuu ya Uingereza leo watakua pale Etihad kuzisaka alama zingine tatu dhidi ya Sheffield.

Aston Villa wakiwa wmaetoka kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Manchester United katika dimba la Old Trafford, Leo watakua nyumbani katika dimba lao la Villa Park kuikaribisha klabu ya Burnley na kuangalia uwezekano wa kurudi kwenye njia ya ushindi.

Klabu ya Wolves wakiwa wametoka kutoa adhabu kali kwa klabu ya Brentford katika mchezo wao uliopita, Leo watakua nyumbani katika dimba la Molineux kukipiga na Everton ambayo imetoka kujeruhiwa mchezo uliopita.

Michezo yote ambayo inakwenda kupigwa leo katika ligi kuu ya Uingereza leo Meridianbet wamehakikisha inawekewa ODDS KUBWA ili wateja wake waweze kujipigia mkwanja katika msimu huu wa sikukuu.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad