Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Adam Mihayo (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Mipango ya Benki hiyo Bw. Muondakweli Kaniki alipofika kuripoti rasmi nafasi ya kuongoza Benki hiyo baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TCB wengine pichani ni Mkurugenzi Rasilimali Watu Wa Benki hiyo Bi. Diana Myonga, Mkurugenzi Wa Uendeshaji Karoli Shayo, Mkurugenzi Wa Sheria huyo ni Bi. Mystica Ngongi. Hafla hiyo imefanyiaka hivi karibuni makao makuu ya TCB jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Adam Mihayo (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Benki hiyo Bi.Diana Myonga wakati alipokwenda kuripoti kushika nafasi ya kuongoza Benki hiyo wengine pichani ni maafisa wa TCB.
Afisa
Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Adam Mihayo
(kushoto), akipata maelezo kutoka Kwa Mkurugenzi wa Mipango ya Benki
hiyo Bw. Muondakweli Kaniki alipofika kuripoti rasmi nafasi ya kuongoza
Benki hiyo baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TCB mwengine
pichani ni Mkurugenzi Rasilimali Watu Wa Benki hiyo Bi. Diana Myonga.
Hafla hiyo imefanyiaka hivi karibuni makao makuu ya TCB jijini Dar es
Salaam
Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Adam Mihayo akipokea maua ikiwa ni ishara ya upendo kutoka kwa maafisa wa benki hiyo alipofika kuripoti rasmi nafasi ya kuongoza Benki hiyo baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TCB.
No comments:
Post a Comment