LIGI ya mabingwa ulaya itaendelea wiki hii ambapo itapigwa michezo mingi katika madimba tofauti tofauti, Michezo ambayo ambayo inaweza kukupa nafasi ya kuijipigia maokoto yako na Meridanbet.
Jana Jumanne ilipigwa michezo kadhaa ya ligi ya mabingwa ulaya inawezekana hukubahatika kujipigia mkwanja, Usipate shinda leo tena itakwenda kupigwa michezo ambayo itaweza kukuacha ukiwa umejaa mkwanja wa kutosha.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri wameweka ODDS KUBWA na za kibabe katika michezo yote ambayo itakwenda kupigwa leo katika viwanja mbalimbali barani ulaya.
Manchester United baada ya kushinda mchezo wao wa kwanza katika ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Fc Copenhagen wakiwa nyumbani mchezo uliokua mgumu sana, Leo watarudiana na klabu hiyo wakiwa ugenini mchezo utakaopigwa nchini Denmark ambapo Copenhagen watakua wenyeji wa mchezo huo.
Vinara wa kundi A klabu ya Bayern Munich leo watashuka dimbani dhidi ya Galatasaray wakiwa katika dimba lao la nyumbani la Allianz Arena wakihitaji kujihakikishia nafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora.
Pale katika dimba la Emirates utapigwa mchezo mkali kati ya klabu ya Arsenal ambapo watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Sevilla kutoka nchini Hispania, Mchezo ambao unatarajiwa kua mgumu kwakua kila timu inahitaji alama tatu ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kufuzu hatua inayofuata.
Napoli watakua nyumbani katika dimba lao la Diego Armando Maradona wakiwakaribisha klabu ya Union Berlin ambayo mpaka sasa haijapata alama katika mchezo wowote wa kundi C, Jambo ambalo linaweza kufanya mchezo huo kua mgumu kwani Union Berlin watahitaji kupata alama huku Napoli nao wakihitaji alama tatu ili kufuzu hatua inayofuata ya 16 bora.
Real Madrid vinara wa kundi C wakiwa na alama zao 9 leo watakua nyumbani katika dimba lao la Santiago Bernabeu wakihitaji alama tatu muhimu ili kufuzu hatua ya 16 bora ya ligi ya mabingwa ulaya, Huku wageni wakiwa klabu ya Sporting Braga ambao mpaka sasa wamekusanya alama tatu mpaka sasa katika kundi hilo.
No comments:
Post a Comment