HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 10, 2023

NOVEMBA YA MAOKOTO YA KASINO MTANDAONI NA AVIATOR


HII ni kwa kila mtu anayejua kucheza kasino mtandaoni na kwa wasiojua lolote, mchongo mkubwa kabisa wa kufungia mwaka huku ukipata maokoto ni kuwa rubani wa maisha yako kupitia ndege ya Aviator kutoka Meridianbet.

Kuanzia Novemba 1 hadi Novemba 30, 2023 kutakuwa na Promosheni maalum kwa wachezaji wa Aviator kutoka Meridianbet kasino mtandaoni. Watu 10 wenye bahati watakuwa wanazawadiwa beti za bure wakati wakiwa mchezoni.

Moja kati ya michezo ya kasino mtandaoni rahisi kabisa kucheza na unaeleweka ni kurusha ndege ya Aviator, unaweza kuucheza kwa dau dogo kabisa la TZS 200.

Ili uwe mshindi unapaswa kuwa makini tu kukusanya pointi (odds) kabla ndege haijadondoka, haya yote huyapati popote Zaidi ya Meridianbet kasino mtandaoni.

Masharti ya Promosheni hii.
Wakati wa promosheni, mvua za beti za bure zitatokea kila siku, jumla ya mara 20 kila siku, kwa wachezaji 10 kila wakati.
• Wakati wa mvua ya beti za bure, wachezaji 10 wa kwanza wanaobofya kitufe cha KUDAI watapokea beti za bure.

• Kila beti ya bure inayotolewa ina thamani ya TZS 500.
• Mchezaji mmoja anaweza kudai beti moja ya bure kwa kila mvua moja ya beti za bure.
• Fungua "CHAT" ndani ya mchezo wa Aviator kwa kubofya kitufe kilichoko kwenye kona ya juu kulia ya skrini na utarajie mvua yabeti za bure.

• Baada ya kudai beti za bure, mchezaji anapaswa kubofya "beti za bure" ndani ya menyu na kuchagua beti za bure ulizodai kama dau.

• Ushindi unaweza kutolewa kwa akaunti ya pesa ya mchezaji wakati wowote baada ya uwezekano kufikia kiwango cha chini cha 1.95.


• Freebets lazima zitumike ndani ya dakika 10 baada ya kubofya kitufe cha DAI.

NB: Meridianbet inakupa nafasi ya kupata bonasi ya TZS 50,000/= na Mizunguko ya bure unapozungusha gurudumu la bahati la Wheel of Fortunes. ZUNGUSHA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad