HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 13, 2023

BODI YA WAKURUGENZI TRA YAPOKEA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI MAMLAKA YA MAPATO GHANA

 

 Leo tarehe 13 Novemba, 2023 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Uledi Mussa Abbas akiwa pamoja na Naibu Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Mcha Hassan Mcha wamepokea na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Ghana (GRA) ukiongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Peter Ohene Kyei. Ujumbe huo umetembelea TRA kwa ajili ya kujifunza musuala mbalimbali ya kodi ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad