HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 7, 2023

Rais Samia Azungumzia Hatua Ambazo Serikali ya Tanzania Inachukua Kuimarisha sekta ya kilimo

RAIS Samia Suluhu Hassan azungumzia hatua ambazo Serikali ya Tanzania inachukua kuimarisha sekta ya kilimo ili kutengeneza soko zuri kwa wakulima. Alitoa hotuba hiyo kwenye Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula (AGRF), Septemba 7, 2023, Dar es Salaam.

#AGRF2023

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad