Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt. Elirehema Doriye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Karim Meshack (kushoto) na Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Lihami Masoli (kulia) kusherehekea kwa kampuni hiyo ya serikali kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa NIC Insurance, Karim Meshack akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) kusherehekea kwa kampuni hiyo ya serikali kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.
Meneja wa Huduma za Bima za Kibenki kutoka TCB, Francis Kaaya akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) kama mdau mmojawapo wa kamkusherehekea kampuni ya NIC Insurance kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.
Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt. Elirehema Doriye (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo kusherehekea kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.
No comments:
Post a Comment