HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 18, 2023

MAGEMBE CUP YACHANGAMSHWA NA MERIDIANBET

 


MICHUANO inayoendelea mkoani Tabora Kaliua inayofahamika kama Magembe Cup imetiwa ndimu na kampuni ya ubashiri ya Meridianbet baada ya kampuni hiyo kutoa vifaa vya michezo kama jezi na mipira kitu ambacho kitasaidia kutia motisha katika michuano hiyo.

Kampuni ya Meridianbet wameamua kutoa vifaa vya michezo katika michuano hiyo katika kuhakikisha wanaendelea na utamaduni wao wa kurudisha kwa jamii, Lakini pia kuhakikisha wanaunga mkono na kukuza sekta ya michezo nchini.

Msimu mpya wa ligi mbalimbali barani ulaya nao umerejea rasmi na Meridianbet wanakuambia “MSIMU MPYA MZIGO WAKUTOSHA” kwa maana ya kwamba usiache kubashiri na kampuni hiyo yenye ODDS KUBWA

Mkuu wa kitengo cha Masoko kutoka kampuni ya Meridianbet Nancy Ingram alizungumza wakati wanakabidhi vifaa hivyo vya michezo leo “Kampuni yetu kikawaida imekua ikitoa sapoti katika sekta mbalimbali lakini leo tumeamua kugusa sekta ya michezo kwakua sisi wenye ni wahusika wakubwa katika sekta hii na tumefurahi kua moja ya wadau waliotoa sapoti kwenye michuano hii”

Unafahamishwa kwa kipindi hiki ambacho ligi zimerejea na “MZIGO UPO WAKUTOSHA” Meridianbet wanakuambia Jackpot ipo palepale kupitia simu za vitochi *149*10# kwa shilingi 1000 tu.

Mwakilishi wa michuano ya Magembe ambaye amepokea vifaa hivyo pia alipata wasaa wa kuzungumza na kuonesha kufurahishwa na kilichofanywa na Meridianbet "Nashukuru Sana Meridianbet Kwa Msaada Huu Mimi Kama Muwakilishi Wa Magembe Cup 2023 Naamini Msaada Huu Ni Chachu Ya Mafanikio Kwa Vijana Wengi Hasa Kwa Kupata Vifaa Vitakavyowasogeza Katika Mapambano Yao Binafsi Nawashukuru Sana Na Niwaombe Msituchoke Pale Tutakapowahitaji" Salvatory Nkindiko

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad