HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 22, 2023

Blackjack live Mchezo wa Karata wenye masharti Rahisi!

*Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa.
*Kasino ya Mtandaoni Blackjack Live

MSIMU mpya Mzigo wa Kutosha Meridianbet ni slogan mpya ikiwa na lengo la kuwapatia wateja wake maokoto ya kutosha kila wakati, kupitia kasino ya mtandaoni, michezo ya sloti, kubashiri soka na promosheni kibao ni sehemu inayokupa hela za kutosha.

Kupitia mchezo wa kasino ya mtandaoni wa Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwa kutumia kibunda chenye karata 8.

Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo wakasino ya mtandaono unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni ikiwemo na wachezaji wa Meridianbet. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia burudani na ushindi kupitia Blackjack Live huku ukiwa na fursa ya faida hadi mara 100 ya dau uliloliweka.
Jinsi ya Kucheza Blackjack Live

Unachotakiwa kukifanya ni kubashiri karata gani mchezeshaji (dealer) ataiweka mezani na kuifunua. Tofauti ya Blackjack Live na Blackjack nyingine ni kwamba, hii ina bunda lenye karata 8 na sio 52. Vilevile, mchezo huu unachezwa mubashara kabisa kutoka kwenye studio za Riga.

Kuwa makini na mchezeshaji wa Blackjack kwani, ushindi upo hapo! Pamoja na hayo, ubashiri wa karata unalipwa kwa viwango. Sloti ya Blackjack Live inachezwa kwenye meza zaidi ya moja na kila meza inaweza kuwahudumia wachezaji 7.

Chaguo la Bet Behind litakupa fursa ya wewe kuweka dau hata kama umechelewa kuanza na mchezeshaji atakuelekeza nini unachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huo.

Una sekunde 15 tu za kuweka ubashiri na mchezeshaji ataanza kuchezesha karata. Mchezeshaji atasimama kwenye 17 na Blackjack italipa 3 na zikiwa kwenye uwiano wa mara 6:1, 12:1 au 25.

Shinda kistaa kupitia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na mchezo wa Blackjack Live.

Vigezo na Masharti, kuzingatiwa. Hairuhusiwi kubeti kwa Wenye Umri Chini ya Miaka 18.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad