HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 11, 2023

SUPER TUESDAY YA MERIDIANBET INAKUPA BONASI KUBWA KILA WIKI

MWAKA una jumla ya siku 365 ikiwa ni jumla ya miezi 12, kila mwezi ukiwa na wiki 4 sawa ya siku za Jumanne 4, je kati ya siku 7 za wiki ni siku gani yenye bahati kwako?

Meridianbet kama kawaida yao kila kukicha huja na vitu spesho kwa wateja wake, na mwezi huu wa 7 wameanzisha utaratibu wa kugawa bonasi za kucheza sloti, kasino ya mtandaoni na ubashiri wa soka kila wiki lakini siku ni moja tu je ni siku gani hiyo?

Kama nilivyosema kuna siku 7 kwenye wiki moja, na Meridianbet wakali wa odds kubwa wameichagua siku ya Jumanne kuwa ndiyo siku ya kumwaga bonasi, siku hii inaitwa Jumanne supa “Super Tuesday bonus” ambapo inahusisha wateja wote wa Meridianbet waliojisajili.

Ili kujua kama umepata bonasi ya Jumanne Supa unapaswa kuingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet nyumba ya mabingwa yenye odds kubwa, na michezo ya kasino ya mtandaoni na sloti. Kila siku kuanzia saa 1 jioni bonasi itawekwa kwenye akaunti yako endapo kama utabahatika kupewa.

Ofa hii ni kwa wateja wote wanaobashiri soka na michezo mingine, pia na kwa wale wanaocheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni, kupitia kwenye simu zao ama kwa kutembelea duka ya Meridianbet lililopo karibu yako.

NB: Kila unapojisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad