HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 8, 2023

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha atembelea banda la PPRA, Sabasaba

 


Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo akipata maelezo kutoka wa Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA)Zawadi Msalla wakati Naibu Katibu Mkuu alipotembelea banda la PPRA kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa PPRA Zawadi Msalla akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda  alipotembelea la Wizara ya Fedha  kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa NDC Nicolaus  shombe (Mwenye suti nyeusi) akipata  maelezo kutoka wa Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA)Zawadi Msalla wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha  kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Jenifa Omolo  akisaini ktabu cha PPRA wakati alipotembelea banda  la Wizara ya Fedha  maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.kulia ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa PPRA Zawadi Msalla.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja  wa Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA)Zawadi Msalla na baadhi ya wafanyakazi kwakati Naibu Katibu Mkuu alipotembelea banda la PPRA kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa  Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad