KILA kukicha wachezaji wengi huibuka washindi na kuwa moja ya wanafamilia mabingwa wa Meridianbet kila kukicha. Unaweza kuwa mshindi mkubwa kwa kuchagua mechi zenye odds kubwa na dau lolote utakalo.
Hatimaye Meridianbet wamemtanganza mshindi ambaye alijilipua kinouma kwa kuweka dau la Tsh 1,000,000/= kisha akabeti mechi zake 13 za uhakika huku akihakikisha jamvi lake lina odds kubwa.
Akifahamika kwa ufupi kama S.S amefanikiwa kuibuka mshindi na kuwa Milionea mpya kitaa, Tsh 14,146,156/= ndio pesa alizoshinda na kupewa na Meridianbet huku akiwa na uhakika wa kuishi kabisa.
Orodha ya mabingwa haikuishia hapo tu, wiki hii licha ya ligi kubwa duniani kufika tamati bado kuna mechi zinaendelea na kama ukituliza akili ukatengeneza jamvi lako lenye odds kubwa unaweza kupiga mtonyo mrefu tu kama hawa wengine.
Huyu anafahamika kwa ufupi kama S.G aliweka dau la Tsh 1.4m kisha akachagua mechi zake 4 za uhakika zikiwa na odds kubwa kisha akapiga mpunga kiasi cha Tsh 4,206,171
Mwsho kabisa katuna na hii funga mwaka, Imagine kwa dau la Tsh 7,500/= lilitosha kabisa kumpa ushindi wa Tsh 2,058,427 mteja huyu aliyechagua mechi zake 10.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.
No comments:
Post a Comment