HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 13, 2023

MCHEZO WA POKER UNAKUPA NAFASI YA USHINDI KIRAHISI

 


KAMA unapenda mchezo wa karata basi chimbo jipya la kupigia hela limeongezeka pale Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea mchezo wa karata wenye umaarufu kwa wadau wa michezo ya kubeti duniani kote. Mchezo huu wa poker ni mchezo utakaokupa utajiri haraka, mchezo wenye sifa ambazo haujawahi kuzisikia.

Casino Stud Poker ni mchezo mubashara wa poker uliotengenezwa na waandaji wabobefu wa michezo mbali mbali ya kasino waitwao ‘Playtech‘. Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, kombinisheni za ushindi zinatengenezwa pekee kutoka kwenye karata tano za kwanza ambazo zitakuwa mikononi mwako.

Casino Stud Poker ni mchezo wa kasino ya mtandaoni unaohusisha mchezaji na muuzaji. Lengo la mchezo ni kuwa na mkono wako imara kuliko wa muuzaji, ikitokea umefanikisha hilo basi ushindi ni wako na utalipwa kulingana na dau lako uliloweka.

Unaweza kuweka beti zako kwenye aina mbalimbali za beti, beti kuu kati yao ikiwa ni Ante. Ante ni beti inayohitajika na lazima ipigwe mwanzoni mwa kila mkono.

Unaendelea mchezo kwa kubonyeza kitufe cha Call. Unaweka beti zako muda mrefu kama kuna wakati unaendelea. Baada ya kuonyesha chaguo la No More Bets, hakuna tena wakati wa kuweka beti.

Unaweza kuongeza maradufu beti yako na kitufe cha X2, na unaweza kurudia mchezo na kitufe cha Rebet.

Baada ya kuweka beti zako kwenye beti ya msingi, unaweza pia kucheza kwenye beti mojawapo kati ya beti mbili za nje: 5+1 na Jakipoti.

Mchezeshaji atakupa karata tano na yeye mwenyewe. Karata zako zinaonekana wazi, wakati karata ya mchezeshaji ni wazi na karata zilizobaki zimeinama chini.

Hakuna karata za ziada kwenye ubao kama ilivyo katika matoleo mingine ya poker. Ili kushinda unapaswa karata zako mkononi zizidi za mchezeshaji wa mchezo wa kasino ya mtandaoni.

Ujaribu mchezo huu pendwa kabisa duniani kote Casino Stud Poker ili kujikusanyia maokoto ya kutosha huku ukiburudika na sauti nzuri za muziki.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad