Afisa kutoka Bodi ya NBAA, Eatella Mgaya akitoa elimu kwa umma kwa Rosemary Semanda kuhusu Bodi hiyo alipotembelea Banda na Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Es Salaam. Katikati ni Mfanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Sawa Ngendabanka

Afisa TEHAMA kutoka NBAA, Hassan Kawambwa (kushoto) akitoa maelezo kwa Richard Manwaly (kulia) kuhusu namna mtu anavyoweza it kupitia tovuti ya Bodi bila yeye kuja kwenye ofisi za Bodi alipotembelea Banda na Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Es Salaam.

Afisa TEHAMA kutoka NBAA, Hassan Kawambwa (kushoto) akitoa maelezo kwa wanafunzi kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi hiyo walipotembelea Banda na Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Es Salaam.

Mfanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Sawa Ngendabanka Nixon Mwaipaja akitoa maoni yake kama mwanachama wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) alipotembelea Banda la Bodi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Es Salaam. Kulia ni Afisa kutoka Bodi ya NBAA, Eatella Mgaya na katikati ni Mfanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Sawa Ngendabanka
No comments:
Post a Comment