KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka(Meza Kuu) mapema leo Julai 28, 2023 amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Hamisu Umar Takalmawa katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Jeshi hilo, Jijini Dar es Salaam.
KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka(Meza Kuu) akimsikiliza Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Hamisu Umar Takalmawa(Vazi Bluu Bahari) alipomtembelea katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Jeshi hilo, Jijini Dar es Salaam.
BALOZI wa Nigeria nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Hamisu Umar Takalmawa(Vazi Bluu Bahari) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka mara baada ya Mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Jeshi hilo, leo Julai 28, 2023 Jijini Dar es Salaam.
KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Mzee Ramadhani Nyamka(Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Hamisu Umar Takalmawa(Vazi Bluu Bahari) pamoja na Maofisa Ubalozi wa Nigeria nchini walipotembelea katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Jeshi hilo, Jijini Dar es Salaam. Picha zote na Jeshi la Magereza
No comments:
Post a Comment