HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 24, 2023

Hot Keno ya Meridianbet Mtonyo Kirahisi Tu!!!

 

ALIYEKUAMBIA hupigi mkwanja ukicheza Meridianbet ni nani? Iko hivi kama ulikuwa unafikiria ni mchezo gani ucheze ili ukusanye maokoto kibao, basi Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ni chimbo pekee linalokupa ushindi kirahisi.

Kukiwa na michezo ya kasino ya mtandaoni kibao, sloti na bonasi, kuna huu mchezo wa namba ujulikanao kama Hot Keno ni mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa na EGT Casino. Hot Keno unapewa fursa ya kushinda mara 10,000 zaidi ya dau lako! Ni juu yako kuandaa mpangilio na mfuatano sahihi wa namba kumi za ushindi.

Hot Keno ni mchezo wa namba kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti kibao utakukumbusha sinema za Kigiriki. Lazima utakua umeshawahi kukutana na mchezo huu kwenye maduka ya kubashiri.

Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni una jumla ya namba 80, ambapo namba 20 huchezwa. Lengo la mchezo ni kubashiri idadi kubwa ya namba zitakazotokea/zitakazochaguliwa kadri iwezekanavyo, hasa kubashiri namba zote.

Hata hivyo, hata kama hautofanikiwa kubashiri na namba zote, pia unaweza kushinda pesa kulingana na idadi ya namba ulizochagua kutokea.

Hot Keno una chaguo la Autoplay unaweza kucheza mfululizo bila kukatisha mzunguko.

Jinsi ya Kucheza Hot Keno

Unachohitajika kufanya ni kuandaa mchanganyiko/mpangilio wa namba mbili hadi namba kumi na kuanza mchezo.

Chagua namba zako pendwa au angalia uchezeshaji wa awali na cheza kwa kubashiri namba ambazo unadhani zitatokea kwenye gurudumu la namba.

Ikiwa hauwezi kuamua, hiyo pia sio tatizo. Chagua mchanganyiko wa namba unazotaka kucheza, na kisha cahgua kitufe cha uteuzi nasibu (random selection).

Bonasi ya Mchezo huu una bonasi ya kubashiri tu, na ni mchezo wa kubahatisha. Bonasi hii, unaweza kuongeza ushindi wako mara mbili. Unachohitaji ni kutabiri rangi ya karata inayofuata.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad