HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 20, 2023

Rogers Nyota Mpya wa Meridianbet Kasino


“Chagua Tukupe” ndio kaulimbiu ya Meridianbet kwamba wewe unachagua tu halafu wao wanakupatia na ndicho alichokifanya Rogers Sezero mshindi wa milioni 50 taslimu za kitanzania ambaye yeye amechagua kucheza kasino mtandaoni mchezo wa Mochimon na hatimae amepewa baada ya kushinda milioni 50.

Meridianbet inaendelea kuongeza wigo wa wateja kupitia kasino mitandaoni kwani inaendelea kutoa washindi kila siku jambo ambalo linaendelea kuwafanya watu wengi kujiunga nao kwani inaonesha ni kweli watu wanashinda katika michezo mbalimbali ya kasino mitandaoni kutoka Meridianbet.

Kipindi ambacho ligi zimemalizika, Meridianbet inakwambia sio mwisho wa wewe kupiga pesa wakiwa wamekupatia michezo ya kasino kama yote ambayo kwa dau dogo tuu unapiga mkwanja mrefu. Sloti, Aviator, Roulette Poker, Pia Premium yote hiyo ni kwaajili yako ingia na ucheze muda huu.

Kupitia michezo ya kasino mitandaoni inaendelea kutoa bonasi kila siku kwa wateja ambao wanacheza michezo mbalimbali kama expanse, Veni Vidi Vici, pamoja na Titans Roullete Hivo wateja wanaendelea kukaribishwa kucheza michezo ya Kasino Mitandaoni watu wanapiga mishindo kila siku.

Mshindi wa milioni 50 na Meridianbet kupitia mchezo wa Mochimon bwana Rogers Sezero amezungumza na kusema ana furaha kubwa sana baada ya kupata ushindi huo mkubwa na kuwataka watu waendelee kujitokeza na kucheza michezo mbalimbali ya Kasino mitandaoni kwani ni kweli watu wanashinda mikwanja.

*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Unataka kucheza kasino ya mtandaoni? Basi nenda Meridianbet wana michezo mingi sana ambayo ni rahisi kwako kushinda kama Aviator kwa dau la shilingi 200/= tu basi unaweza kuwa Milionea, Poker, Roullete, Piggy Party na mingine ambayo ni rahisi sana na pesa yake ni ya chap chap hakuna kusema unasubiri wiki au siku iishe.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Unachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino ambayo inayotolewa na Meridianbet na uipendayo wewe mteja wao. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kucheza michezo kibao ya kasino ambayo juzi hapa mteja kutoka kwa Aziz Ally alifanikiw akupiga kitita cha shilingi Milioni 20 wewe unasubiri nini?

Usikose kucheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette, Piggy Party, Pia Premium ambayo hiyo yote itakuwa karibu nawe wakati ligi zikiwa zimeisha na wewe utaweza kujipigia pesa huko.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad