HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 23, 2023

UHUSIANO WA TANZANIA NA AFRIKA KUSINI UKO IMARA

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi akizungumza na watumishi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bi. Fatma Hamad Rajab. 

 Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi (wa sita kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bi. Fatma Hamad Rajab (kushoto) katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mei 22, 2023 jijini Pritoria.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad