Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo Bujumbura nchini Burundi leo tarehe 31 Mei 2023. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa 21 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika nchini Burundi.
Wednesday, May 31, 2023
Home
HABARI
HABARI KIJAMII
Makamu wa Rais awasili Bujumbura nchini Burundi kuhudhulia mkutano wa Dharura EAC

Tags
# HABARI
# HABARI KIJAMII
HABARI KIJAMII
Labels:
HABARI,
HABARI KIJAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment