HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 15, 2023

CHEZA GEMU LA MATUNDA USHINDE KIRAHISI

 


*Sloti ya Wild Hot 40
UKIACHILIA mbali bonasi na promosheni za kila mara, Meridianbet kasino ya mtandaoni ni chimbo la ushindi mkubwa kwa majokeri haswa kama ukicheza sloti ya Wild Hot 40.

Moja kati ya mchezo ambao unakupa matumaini ya kuongeza hela kwenye dau lako uliloweka ni sloti ya Wild Hot 40 kutoka kasino mtandaoni, inakuhakikishia ushindi mkubwa kwa kuwa ina Jackpot 3 za ushindi ambazo ni Gold, Platinum na Diamond.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Wild Hot 40
Sloti hii ya Wild Hot 40 inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni, inasifika kwa uchezaji wake rahisi haswa katika muundo wa alama za matunda na muundo wa kolamu 5 na mistari 40 ya malipo.

Matunda hayo ni Ndizi, Tufaa (Apple) na Strawberry ambapo ukipata alama hizi 5, utapata mara 2.5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Kengele, unarudishiwa mara 5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama ya namba 7 za bahati, utapata mara 10 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Wild, utarudishiwa mara 25 ya dau uliloweka wakati ukipatia alama 5 za Scatter utarudishiwa zaidi ya mara 500 ya dau lako.

Kubwa Zaidi ni kwamba Sloti hii kutoka kasino ya mtandaoni inakuja na chaguo la Gamble ambalo litakuletea mara 2 ya faida uliyoipata kwenye ushindi wako.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad