HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 27, 2023

WATANZANIA WALIOKWAMA SUDAN WAREJEA NCHINI SALAMA

 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) wa pili kulia; Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo (kulia); Balozi wa Tanzania nchini Sudan, Mhe. Silima Kombo Haji na Mkurugenzi wa Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Naimi Aziz wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kuwapokea Watanzania waliorejeshwa na Serikali kutoka Sudan ambako kuna mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Jeshi la Sudan na Jeshi la Msaada wa Haraka (RSF).

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) akisalimiana na mmoja wa Watanzania waliorejeshwa na Serikali kutoka Sudan ambako kuna mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Jeshi la Sudan na Jeshi la Msaada wa Haraka (RSF). Mtanzania huyo amepata changamoto za kiafya kwa kupata mshituko kufuatia matukio ya mapigano hayo.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) akiongea na Marubani waliorusha ndege ilyowabeba Watanzania waliorejeshwa na Serikali kutoka Sudan kufuatia mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Jeshi la Sudan na Jeshi la Msaada wa Haraka (RSF)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Sudan, Mhe. Silima Kombo Haji baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kutoka Sudan ambako kuna mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Jeshi la Sudan na Jeshi la Msaada wa Haraka (RSF)Watanzania waliorejeshwa na Serikali kutoka Sudan ambako kuna mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Jeshi la Sudan na Jeshi la Msaada wa Haraka (RSF) wakiwa wanakamilisha taratibu za uhamiaji ili waweze kukutana na familia zao zilizokuwa zinawasubiri uwanjani hapo


Watanzania waliorejeshwa na Serikali kutoka Sudan ambako kuna mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Jeshi la Sudan na Jeshi la Msaada wa Haraka (RSF) wakiwa wanakamilisha taratibu za uhamiaji ili waweze kukutana na familia zao zilizokuwa zinawasubiri uwanjani hapo


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) akiongea na baadhi ya wazazi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea vijana wao waliorejeshwa na Serikali kutoka Sudan.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) akiongea na vyombo vya habari vilivyofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kushuhudia tukio la kuwapokea Watanzania waliorejeshwa na Serikali kutoka Sudan.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) akiongea na familia zilizofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea wapendwa wao walirejeshwa na Serikali kutoka Sudan.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad