HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 20, 2023

MACHAGUO ZAIDI YA 1000 YANAPATIKANA VINGUNGUTI RELINI

 

JE unayajua machaguo zaidi ya 1000? Na unatamani kuyapata basi nenda Meridianbet utakutana nayo kibao kazi inabaki kwako tu kuchagua na kupewa kile ambacho unakitaka na haya utayapata katika duka jipya ambalo llimezinduliwa hii leo pale Vingunguti Relini kwaajili ya kubetia.

Duka hilo litawasaidia wakazi wa eneo hilo kubetia kwa urahisi huku kukiwa na ODDS KUBWA na za kibabe kutoka dukani hapo. Na baada ya ujio wa duka hilo wakazi wa hapo wamefurahia sana Meridianbet kuwafikia na kuwaletea duka hilo.

Baada ya uzinduzi wa duka hilo, mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Meridianbet, Martina Nkurlu amesema kuwa, “Meridianbet Tanzania tunayo furaha kuendelea kuwapa nafasi wakazi wa Jiji la Dar es salaam kuendelea kujipatia huduma bora za michezo ya kubarishi. Duka hili limesheheni michezo mbalimbali ya kubashiri na ya kimataifa zaidi kwani tumewaboreshea wateja wetu kwa kuwaletea mashine bora toka Ulaya na kuwawekea mazingira rafiki zaidi dukani hapa.”
 

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii hapa.

Bwana Masoko aliendelea kusema kuwa Meridianbet wanajali thamani na ubora wa vifaa na mashine za kubashiria wateja wao na sasa wamesogeza huduma hizo hapo vingunguti relini. ODDS KUBWA unazipata hapa Meridianbet lakini pia kuna machaguo mengi zaidi ya 1000.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad