HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 14, 2023

Historia ya Football Uingereza ni Kitovu chake

 


* Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/AWszDn

HISTORIA ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira wa miguu ulikuwa unachezwa mjini na baadae ukahamishiwa kuchezwa kwenye shule za umma. Mwaka 1865 Uingereza waliamua kuurasmisha mchezo huu pendwa na kuunda Chama cha Soka (FA) kitakachokuwa kinasimamia kanuni na sharia za mpira.

Baada ya hapo mchezo huu ulisambaa kote duniani na kuanzishwa kwa Ligi mbalimbali kama vile EPL, La Liga, Serie A, Ligue 1, Bundasliga, mpira ni pesa, na pesa unazipata kutoka Meridianbet wakali wa odds kubwa, machaguo 1000+ na bonasi za soka nyingi.

Jumamosi haitokua ya kinyonge EPL itarejea tena kwa kasi ni mechi kali kati ya Aston Villa vs Newcastle waliopo nafasi ya 3 kwenye Premier League wakati huo Villa akiwa nafasi ya 6 anaitafuta TOP FOUR. Pia vijana wa Frank Lampard wakiwa mtaa wa 11 watakipiga na Brighton hapa napo ni patamu odds kubwa kutoka Meridianbet zinampa nafasi kubwa ya ushindi Chelsea kwa odds kubwa ya 2.65 huku Brighton ana 2.60.

Bayrn Munich watamkosa Sadio Mane kwenye mchezo wa Hoffenheim kwa makossa ya kupigana na Sane kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, je kukosekana kwa Mane kutaifanya Bayen kupoteza mchezo huo? Bashiri na Meridianbet odds kubwa kila mechi, lakini pia kuna kasino ya mtandaoni inayokupa ushindi mkubwa kila siku Bonyeza hapa kupata pesa zako kutoka kasino ya mtandaoni www.meridianbet.co.tz

Mechi kali La Liga ni kati ya Athletic Club vs Real Sociedad , Cadiz vs Real Madrid ambao wanashika nafasi ya pili kwenye msimamo wanazitaka pointi tatu ili kupunguza nafasi yao na Barca ambao ni vinara wa La Liga. Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Real Madiri lakini odds kubwa Zaidi amepewa Cadiz 5.68 ashinde mbele ya Madrid je ataweza?

Jumapili ya kibabe sana pale EPL, West Ham anawakaribisha vinara wa Ligi Arsenal, wakati huo United atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Nottingham Forest. Pia kwenye Serie A Juventus atakuwa ugenini dhidi ya Sassuolo, Roma vs Udinese. Bashiri Meridianbet mechi hizi zina odds kubwa, kama sio mpenzi wa kubashiri soka unaweza kucheza kasino ya mtandaoni kupitia www.meridianbet.co.tz

NB: Meridianbet wanakurudishia x100 ya dau lako pale ambapo tiketi yako itachanika kwa mechi moja. Bonyeza hapa kufahamu kuhusu ofa hii www.meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad