HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 12, 2023

Benki ya CRDB yaandaa futari kwa Wabunge, wateja na wadau wake jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kushoto), wakati alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Waheshimiwa Wabunge, wateja na wadau wa benki hiyo wa jijini Dodoma, iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Wengine pichani ni Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa  Benki ya CRDB, Dkt. Ally  Laay pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati) na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wakiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Waheshimiwa Wabunge, wateja na wadau wa benki hiyo wa jijini Dodoma, iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Mgeni Rasmi katika hafla hiyo ya futari alikua ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa aliyeambatana na Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Waheshimiwa Wabunge, wateja na wadau wa benki hiyo wa jijini Dodoma, iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Mgeni Rasmi katika hafla hiyo ya futari alikua ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa aliyeambatana na Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson.
Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson akizungumza wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Waheshimiwa Wabunge, wateja na wadau wa benki hiyo wa jijini Dodoma, iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

 No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad