HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 27, 2023

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA SGR KIPANDE CHA MWANZA - ISAKA

  

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watalaamu wanajenga Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Mwanza – Isaka katika eneo la Nyashimba wilayani Maswa akiwa katika ziara ya Mkoa wa Simiyu, Machi 26, 2023. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – SGR, Masanja Kadogosa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) katika eneo la Nyanshimba. Wilayani Maswa . Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua ujenzi huo akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu, Machi 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tren ya watalaamu wanaojenga Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Mwanza – Isaka ikiwa katika eneo la Nyanshimba wilayani Maswa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi huo Machi 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuui)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha Mwanza- Isaka katika eneo la Nyanshimba wilayani Maswa akiwa katika ziara ya Mkoa wa Simiyu Machi 26, 2023. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad