MERIDIANBET YATOA MSAADA SIKU YA WANAWAKE HOSPITALI YA SINZA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 8, 2023

MERIDIANBET YATOA MSAADA SIKU YA WANAWAKE HOSPITALI YA SINZA

 


MWANAMKE ni kiungo muhimu sana kwenye uwanja wa Maisha na ndio maana dunia huadhimisha siku ya wanawake kila mwaka Machi 8, Mwanamke ana thamani kubwa sana kwenye Maisha, kwangu Mwanamke ni Shupavu kwako ni nani? Meridianbet wakali wa Odds kubwa na michezo ya kasino ya mtandaoni kwa kutambua umuhimu wa mwanamke, waliamua kutembelea Hospitali ya Sinza wodi ya wazazi na kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kama vile kanga, sabuni, sukari na vitendea kazi vya wafanyakazi.

Katika ziara ya timu kutoka kampuni namba moja ya kubashiri Tanzania Meridianbet wenye sloti nzuri kama Aviator, Poker na Roulette, Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Martina Nkurlu walifikisha msaada huo huku baadhi ya wazazi walionufaika na msaada walisema”Tunashukuru Meridianbet kutukumbuka.”

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

“Hili ni jambo kubwa Meridianbet mmelifanya, kikubwa kwa niaba ya wenzangu hapa napenda kutoa shukrani nyingi kwa msaada huu ambao unaonesha kutambua umuhimu wa wanawake kwenye jamii” Pendo William

Aidha Judith Katenga ambaye ni Muuguzi Mkuu wa Hospitali hiyo alitoa neno kwa niaba ya Uongozi wa Hospitali hiyo alisema kwamba Meridianbet wamefanya jambo kubwa sana kuwakumbuka wagonjwa.

"Kipekee niwashukuru Meridianbet kutuchagua Hospitali ya Sinza kutuletea hivi vifaa tumevipokea kwa niaba ya wagonjwa, Mungu awabariki "

"Kwa makampuni mengine kama ambavyo mmefanya Meridianbet, waguswe na kuweza kutoa msaada kwa wagonjwa wengine" Judith Muuguzi Mkuu

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano, Matina Nkurlu alisema “Tumekuja kuwatembela kina mama kwa sababu leo ni siku yao, hivyo tukaona tuje kuwatembelea kina mama wajawazito na kuwapa ‘Kapu la Mama’, huu ni utamaduni wetu tumekuwa tukifanya hivi kila mara na leo tumekuja hapa kusherehekea pamoja."

Meridianbet wenye Odds kubwa, kasino ya mtandaoni, sloti bomba yenye michezo kama Aviator, Poker, na Roulette wamekuwa wakifanya hivi kila mwezi ambapo hurejesha kwa jamii kile kidogo wakipatacho. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad