HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 16, 2023

MERIDIANBET YAMWAGA REFLECTOR KWA BODABODA


BAHATI haiji kwa siku moja lakini msemo huu una maana kubwa kwa bodada wa Kawe ambapo Meridianbet, iliwapatia Reflector ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani, ambapo Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Matina Nkurlu pamoja na Msaidizi wa kitengo cha usalama barabarani Kawe Inspekta Alex Duguza alitoa elimu.

“Meridianbet hiki mlichokifanya ni kitu kikubwa sana kwani itawasaidia madereva bodaboda kujikinga na ajali za barabarani, huu ni mfano wa kuigwa hata kwa makampuni mengine” Inspekta Duguza.

Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni waliwatembelea Bodaboda wa maeneo ya Kawe na kuwapa Reflector kujinga na ajali.

Nae Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu alisema kuwa lengo la kutoa Reflector hizo ni kuzuia ajali za barabani ikiwa ni wiki ya nenda kwa usalama barabarani.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

“Tumewatembelea wenzetu wa Bodaboda ni wadau wetu hawa na sisi tumeamua kuja kuwaunga mkono kwenye kazi yao hii, tumetoa Reflector maalum kabisa ili kupunguza ajali zinakatisha ndoto zao, hivyo mchango huu kwao utaenda kuchochea kasi ya ufanyaji kazi”

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackport kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad