HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 14, 2023

MERIDIANBET INAKUPA ODDS KUBWA MECHI ZA UEFA

 

BAADA ya wikendi kumalizika huku wengine kutoka na maumivu na wengine na shangwe, sasa Ligi ya mabingwa imerejea ambapo leo hii itapigwa michezo miwili Manchester City dhidi ya RB Leipzig, na FC Porto dhidi ya Inter Milan ya Simone Inzaghi.

Pep Guardiola na City yake hawajawahi chukua kombe hili na mara ya mwisho ambayo alifika Fainali alipoteza dhidi ya The Blues sasa yupo hatua ambayo anahitaji ushindi pekee ili aende robo fainali. Mechi tatu za mwisho kukutana kila timu imeshinda mechi moja moja huku moja wakitoa sare City ambapo alikuwa ugenini.


Hatma ya City ipo leo kwa RB nani atamzuia Haaland kutupia mabao leo, De Bruyne zile assist zake za ligi atazihamishia huku? Basi muda utaongea vizuri kwa kitakachotokea pale Etiha leo. Bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet.


Huku ukiwa unawaza utaweka machagupo gani mechi hiyo, Inter atakuwa mgeni wa FC Porto huku akiwa na faida ya bao moja ambalo alilipata mechi ya kwanza walipokutana kule Giuseppe Meazza.


Nani unamuona hapa ataweza kukupatia kitita cha pesa huku hapa kinachohitajika ni magoli tu ili timu iweze kwenda hatua nyingine kweye michuano hii ambayo ni ndoto ya kila timu kubwa kuchukua?


ODDS KUBWA zinapatikana ndani ya Meridianbet pekee ambapo si hlo tu bali hata machaguo ambayo unaweza kuyapata ni zaidi ya 1000. Unasubiri nini ingia na ucheze sasa.


Kesho pia nayo ni siku kuna watu hupena kushinda [pesa kubwa hivyo basi unaweza ukabeti mechi zako za leo na kesho, ambapo hapo kesho sasa viwanja viwili vitatimua vumbi hatari. Nini kitasababisha vitimue vumbi? Basi ni mechi ya kisasi kwa Liverpool dhidi ya Real Madrid ambao ndio mabingwa watetezi wa Kombe hili baada ya kumtwanga huyo huyo Klopp.


Wakakutana tena mechi ya kwanza Majogoo wa Anfield wakashindwa kufurukuta wakachezea kichapo kingine. Je kesho unadhani majogoo watachezea zingine tena. Kwenye mpira kuna matokeo ya ajabu sana ambayo watu hushangazwa nayo yanapotokea. Mfano kupindua meza kwa timu ambayo imefungwa sita mbili, tano mbili na mengineyo.


Kama wewe unataka kubeti utampa nani bashiri yako ili akupatie mkwanja unaouhitaji? Nenda Meridianbet ODDS KUBWA kwa timu hizi zipo kilichobaki ni wewe tuu kusuka jamvi lako na kubeti.


Meridianbet hawakuachi hivi hivi wana kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.


Napoli atamenyana dhidi ya Eintracht Frankfurt ambaye ndiye bingwa mtetezi wa Ligi ya Europa, na kupitia Europa ameweza kushiriki michuano hii ya Klabu Bingwa Ulaya huku mechi ya kwanza akipoteza mbele ya vinara hao wa Serie A nyumbani kwake. Je leo hii atafanya nini?


Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Napoli akiwa na ODDS ya 1.50, sare ikiwa na 4.31, Ushindi kwa Frankfurt ukiwa na ODDS ya 6.07. Kwa ukubwa huo wa ODDS nani kuondoka na ubabe leo?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad