HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 30, 2023

MAKAMU WA RAIS AKIMPOKEA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam, Machi 29, 2023 kuanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania (Picha Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango (kulia) akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam, Machi 29, 2023 kuanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad