HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 15, 2023

SERIKALI YAWATAKA WATAALAMU NA WADAU WA MAZINGIRA KUIBUA MIRADI YA MAZINGIRA

 

Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Andrew Komba kwa niaba ya .. akifunga Warsha ya siku mbili ya Wadau na Wataalamu wa Mazingira iliyolenga kuainisha vipaumbele vya miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayosimamiwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF) na kufanyika jijini Dodoma Februari 13 hadi 14, 2023.
Mratibu wa Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF) – Kanda ya Afrika Dkt. Ibrahima Sow akitoa neno wakati wa kufunga Warsha ya siku mbili ya Wadau na Wataalamu wa Mazingira iliyolenga kuainisha vipaumbele vya miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayosimamiwa na GEF na kufanyika jijini Dodoma Februari 13 hadi 14, 2023.

Washiriki mbalimbali wakiwa katika Warsha ya siku mbili ya Wadau na Wataalamu wa Mazingira iliyolenga kuainisha vipaumbele vya miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayosimamiwa na GEF na kufanyika jijini Dodoma Februari 13 hadi 14, 2023.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad