HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 25, 2023

MERIDIANBET WIKIENDI HII USHINDWE WEWE TU

 


MABINGWA wa michezo ya kubahatisha Meridianbet wamekuwekea odds bomba na za kibabe kwa wewe mteja wa meridianbet ambaye unabashiri na mabingwa katika michezo yote itakayopigwa wikiendi hii katika ligi mbalimbali barani ulaya wenyewe wanasema kwa odds zilimwagwa wikiendi hii ushindwe wewe tu.

Michezo ya Jumamosi Febuari 25
Baada ya kulazimishwa sare katika mchezo uliomalizka klabu ya Manchester City wikiendi hii itakua ugenini kumenyana na Afc Bournamouth walio kwenye hatari ya kushuka daraja. Unaweza kubasiri mchezo huu kupitia meridianbet na kujipatia odds kubwa.

Klabu ya Liverpool watakua kwenye dimba la Selhurst Park kukipiga na vijana wa Patrik Viera klabu ya Crystal Palace, Liverpool wakiwa na majonzi ya kupoteza mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya wataweza kuendeleza wimbi la ushindi katika ligi kuu ya Uingereza? Bashiri na Meridianbet ili kupata majibu kwakua wamekuwekea odds bomba kabisa.

Vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Arsenal watakua ugenini katika dimba la Kingpower kucheza na klabu ya Leicester City, Arsenal wakitoka kushinda dhidi ya klabu ya Aston Villa huku Leicester wakitoka kupoteza dhidi ya Man United. Unaweza kubashiri mchezo huu mkali kupitia Meridianbet. Unaweza kucheza michezo ya kasino mitandaoni ufurahie michezo kama Poker, Sloti, na Roullete.

La liga moto kuwaka derby ya Madrid kupigwa wikiendi hii klabu ya Real Madrid watakua nyumbani kuwakaribisha mahasimu wao klabu ya Atletico Madrid katika dimba la Santiago Bernabeu. Mchezo huu mkali unaweza kubashiri na meridianbet ukutane na odds kubwa.

Vinara wa ligi kuu nchini Italia Serie A klabu ya Napoli watakua ugenini kumenyana na klabu ya Empoli Napoli watakua wakizisaka alama tatu muhimu ili kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Serie A. Bashiri mchezo hu una Meridianbet wamekupa odds bomba.

Mechi za Jumapili Febuari 26
Manchester United wakiwa kwenye kiwango bora kabisa watakwenda kumenyana na klabu ya Newcastle United kwenye dimba la Wembley katika mchezo wa fainali ya kombe la Carabao Cup. Meridianbet wameweka odds bomba kwa kila timu katika mchezo huu mkali. Unaweza kucheza michezo ya Kasino mtandaoni na ufurahie michezo kama Poker, Roullete, Sloti.

Tottenham Hotspurs watawakaribisha ndugu zao kutoka jiji la London klabu ya Chelsea, Chelsea wakiwa ambao wapo kwenye fomu mbovu kwasasa wataweza kufufuka mbele ya Tottenham? Majibu yanapatikana Meridianbet ambapo kila timu imepewa odds bomba.

Vinara wa ligi kuu ya Hispania klabu ya Fc Barcelona baada ya kutupwa nje kwenye michuano ya Europa League wikiendi hii watakua na kibarua ugenini kukipiga na klabu ya Almeria. Barcelona watahitaji alama tatu muhimu ili kuendelea kujichimbia kileleni kwenye msimamo wa la liga. Bashiri na Meridianbet mchezo ufurahie odds kubwa za kibabe.

Ac Milan watakua katika dimba la San Siro kumenyana na klabu ya Atalanta, Ac Milan wakiwa wametoka kushinda mchezo wao wa mwisho ndani ya ligi kuu ya Italia huku Atalanta wao wakitoka kupoteza mchezo unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa. Unaweza kubashiri mchezo huu kupitia Meridiabet wamekuwekea odds kubwa.

Ligi kuu ya Ujerumani kutakua na vita ya kukaa kileleni katika mchezo utakaovikutanisha vilabu vya Bayern Munich na Union Berlin ambao wamelingana alama mpaka sasa. Bayern Munich ambao wametoka kupoteza mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya Ujerumani huku Union Berlin wakisuluhu. Mchezo huu unatarajiwa kua mkali unaweza kubashiri na Meridianbet ujipatie odds bomba kabisa.

Kunako Ligue 1 kutakua na kivumbi cha aina yake klabu ya PSG vinara wa ligi watakutana na Olympique de Marseille wanaokamata nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo, Mchezo huu mkali utapatikana pale Meridianbet ukiwa na odds bomba kabisa Bashiri sasa. Unaweza kucheza mchezo ya kasino mtandaoni na ufurahie kucheza michezo kama Poker, Roullete, Sloti.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad