Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula (kushoto)
na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu
(kulia), wakiangalia wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa
Tanzania, Abdi Mohamed akisaini makubaliano yatakayowawezesha wateja wa
benki hiyo kununua nyumba za NHC kwa mkopo kutoka benki hiyo. Ilikuwa ni
wakati wa uzinduzi wa Huduma ya Mkopo wa nyumba ulioboreshwa wa Absa
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula akihutubia
wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ya mkopo wa nyumba ulioboreshwa
wa Benki ya Absa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi
wa Fedha wa Benki ya Absa Tanzania, Obedi Laiser akizungumza katika
hafla hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Ndabu
Lilian Swere, akizungumza katika hafla hiyo jijini humo hivi karibuni.

Meneja Bidhaa za Mikopo wa Benki ya Absa Tanzania, Patricia Nguma
akitoa maelezo kuhusu huduma za mikopo ya nyumba za Absa wakati wa hafla
hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wahudhuriaji katika hafla hiyo wakifurahishwa na hotuba ya mgeni
rasmi, Waziri wa Ardhi, Dk. Angeline Mabula wakati akizindua hduma ya
Mkopo wa nyumba ulioboreshwa wa Benki ya Absa uliofanyika pamoja ya
utiaji saini makubaliano kati ya Absa na Shirika la Nyumba la Taifa
kuwawezesha wateja wa benki hiyo kununua nyumba za NHC kwa mkopo.
Uzinduzi ulifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment