RC MARA MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI KATIKA SHULE ZOTE ZA MKOA WA MARA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 2, 2023

RC MARA MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI KATIKA SHULE ZOTE ZA MKOA WA MARA

 

MKUU wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee  Januari 1, 2023 akikata utepe kuashiria kuzindua zoezi la upandaji miti katika shule zote za Mkoa wa Mara na hasa zile ambazo zimepata madarasa mapya ambapo ameagiza kuwa kila shule itoe umuhinu katika zoezi la upandaji miti. Ametoa maagizo hayo katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Mfuko wa Maendeleo wa Jamii ya Ikizu(ICDT) unaojihusidha na uchombezaji Maendeleo katika nyanja za Elimu, Afya, Kilimo na Utunzaji Mazingira wilayani Bunda.
MKUU wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee Januari 1, 2023 akipanda miti kuashiria uzinduzi wa upandaji mti katika shule zote za Mkoa wa Mara katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Mfuko wa Maendeleo wa Jamii ya Ikizu(ICDT) unaojihusidha na uchombezaji Maendeleo katika nyanja za Elimu, Afya, Kilimo na Utunzaji Mazingira wilayani Bunda.
MKUU wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee akikabidhi Mche wa mti mmoja wa wanafunzi waliojitokeza katika uzinduzi wa zoezi la upandaji miti katika shule zote za Mkoa wa Mara katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Mfuko wa Maendeleo wa Jamii ya Ikizu(ICDT) unaojihusidha na uchombezaji Maendeleo katika nyanja za Elimu, Afya, Kilimo na Utunzaji Mazingira wilayani Bunda.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad