HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 3, 2023

Baraza La Biashara Afrika Mashariki (EABC) lateua mabalozi Tanzania

Baraza La Biashara Afrika Mashariki (EABC) limewateua waTanzania 3 kuwa mabalozi wa Baraza hilo nchini.

 Hii ni kuhakikisha baraza hilo linatimiza wajibu wake ipasavyo na kufanya biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki zinashamiri bila vikwazo. 

Baraza limewateua

Raphael Maganga - Mtaalamu wa Diplomasia ya Uchumi TPSF

Ms. Mercy Sila - Mwenyekiti wa Tanzania Women Chamber of Commerce 
Dr. Samuel Nyantahe - Mkurugenzi Mtendaji Daima Associates

EABC iliundwa 1998, kama kiungo muhimu  katika  mkataba wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki (EAC Treaty) Ambao ulilisisitiza ushiriki wa sekta binafsi ili kufikia maendeleo enedelevu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa.  Baraza hill ndio mwamvuli wa vyama vyote vya biashara katika nchi zote 7 za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad