HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 12, 2022

WAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KATAVI Hilary Bujiku

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya  siku tatu Mkoani humo, Disemba 12, 2022. Katikati ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa wilaya ya Tanganyika, Onesmo Mpuya Buswelu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi na wabunge wa Mkoa wa Katavi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo, Disemba 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya Wabende iliyokuwa ikichezwa na kikundi cha Tibo wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Katavi Disemba 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya  siku tatu mkoani Katavi, Disemba 12,2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Mpuya Buswelu (kulia kwake) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Katavi,  Iddi Kimanta wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Katavi, Desemba 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kumlaki Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo, Disemba 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad