HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 6, 2022

WAJUMBE KAMATI YA BAJETI WAMETEMBELEA BUNGE LA UMOJA WA FALME ZA KIARABU

 
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti ya Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E), Mheshimiwa Meerah Alnuaimi akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Tanzania, wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Tanzania walitembelea Bunge hilo na kukutana na Kamati ya Bajeti kwa lengo la kubadilisha uzoefu wa masuala mbalimbali ya kibajeti, kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Daniel Sillo.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati, Mheshimiwa Daniel Sillo wametembelea Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) na kukutana na Kamati ya Bunge la Bajeti ya Bunge hilo kwa lengo la kubadilisha uzoefu wa masuala mbalimbali ya kibajeti.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Daniel Sillo akipokea zawadi kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti ya Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E), Mheshimiwa Meerah, wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Tanzania walitembelea Bunge hilo na kukutana na Kamati ya Bajeti kwa lengo la kubadilisha uzoefu wa masuala mbalimbali ya kibajeti.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad