HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 9, 2022

NI ZIPI ODDS KUBWA ZA MERIDIANBETMECHI ZA ROBO FAINALI WC 2022?


ILE Barabaraya kwenda fainali ya Kombe la Dunia sasa imekamilika mkandarasi aliyehusika kuijenga barabara hiyoni FIFA akishirikiana na wahandisi kutoka Qatar na mafundi walikuwa niwengi lakini wamebaki hawa Croatia vs Brazil, Uholanzi vs Argentina, Morocco vs Urenona England vs Ufaransa. Fursa ya hela ipo Meridianbet Bonye za hapa kuona odds za mechi hizi.

Ndege ya kwanza kabisa itaanza safari yakesiku ya Ijumaa saa 18:00 ikihusisha mataifa ya Croatia na Brazil ambao watakutana kwenye uwanja wa Education City, Neymar, Vini, Antony wanatazamwa sana kuifikisha Brazil kwenye fainali na hata kutwaa ubingwa huo.

Hii mechi unaitabiria matokeo gani? Timu gani itatinga hatua ya nusu fainali.

Machaguo spesho ya Meridianbet Mechi hii.

Kiwango cha ushindi: Croatia ashinde kwa utofauti wagoli 1-9.80, Brazil -3.75

Mfungaji wa muda wowote: Luke Modric, 7.83, Dani Alves 9.61, Neymar 2.11, Vinicius 3.05, Gvardiol Josko 18.60, Thiago Silva 10.93. Pia unaweza kubeti bila bando, beti na kitochi.

Ndegeya pili itaanza safari yake kwenye uwanja wa Lusail mji wa Al Daayen, Rubani wa zamuni Lionel Messi kwa upande wa Argentina na kijana mdogo kabisa Denzel Dumfries anatazamwa zaidi naWaholanzi.

Machaguo spesho ya Meridianbet mechi hii
Beti mfungaji wa kwanza kwenye mechi hii, Messi ana odds ya 5.20 na Denzel Dumfries ana odds 21 pale Meridianbet, wakati Van Dijk, Virgil ana 35 unaziachaje zikupite odds hizi.

Beti idadi ya kadi:Wote wazidiane kadi, ina odds ya 2.42 Beti idadi ya kona: Uholanzi awe na kona nyingi kuliko Argentina ina odds kubwaya 2.41, wote wawe na kona sawa 7.20

Njiaya upandewa pili inatimu kama Morocco vs Ureno, Uingereza vs Ufaransa, Morocco walionesha kiwango kizuri sana walipocheza na Hispania na kuwatoa kwa mikwaju ya penati, kipa wao Yassine Bounou alikuwa na kiwango kizuri sana, Ureno nadhani watakuwa wameondoka na mafaili ya wachezaji hawa Achraf Hakim, Hakim Ziyech, Sofiane Boufal.

Mfungaji goli la mwisho: Cristiano Ronaldo ana odds ya 5.00, Bruno Fernandez 7.60, Sofyan Amrabat 45, Hakim Ziyech 14.

Mfungaji wa muda wowote: Ronaldo 2.34, Sofiane Boufal 6.82, William Carvalho 8.58, Hakim Ziyech 5.77, Achraf Hakimi 10.88. Beti sasa Meridianbet, Bofya hapa kuona zaidi machaguo spesho na kubeti.

Hapa kwa Uingereza na Ufaransani vita ya tatu ya dunia itakayopiganwa maeneoya AL Bayt Stadium, Mbappe akiwa anaongoza orodha ya wafungaji ataendeleza moto wake? Mechi hii ina odds kubwa zaidi Bonyeza hapa.

Kama wewe sio mpenzi wa soka unaweza kucheza michezo bomba ya kasino mtandaoni ya Meridianbet kama vile AVIATOR, TITAN ROULETTE, n.k kubwa Zaidi ukicheza Aviator unapata zawadi ya mizunguko ya bure.

CHEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad