HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 18, 2022

WAZIRI SORAGHA: ZANZIBAR NI ENEO BORA KWA UWEKEZAJI

Balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Korea, Mhe. Togolany Mavura akichangia jambo kuhusu mada ya uwekezaji katika sekta ya uchumi wa buluu.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uvuvi na Uchumi wa Buluu, Dkt. Aboud Suleiman Jumbe akitoa neno kuhusu uwekezaji katika sekta ya uchumi wa buluu Zanzibar.
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Mhe. Abdallah Possi akichangia mada kuhusu uwekezaji katika uchumi wa buluu Zanzibar.
Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole akitoa neno kuhusu uwekezaji katika uchumi wa buluu Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad