HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 22, 2022

WAKAZI MKOANI MWANZA WAPATIWA ELIMU KUHUSU SEKTA YA HIFADHI YA JIMII

 


Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Hifadhi ya Jamii, Bw. Omary Mziya akizungumza na wananchi wa Mwanza kuhusu sekta ya hifadhi wakati wa zoezi la uelimishaji umma katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayofanyika viwanja vya Rock City Mall, Jijini Mwanza, Novemba 22, 2022.
Baadhi  ya washiriki na wakazi wa Mwanza wakiwa kwenye viwanja vya Rock City Mall wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Hifadhi ya Jamii, Bw. Omary Mziya (hayupo pichani) wakati wa zoezi la uelimishaji umma katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, Jijini Mwanza.
Afisa Uhusiano kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Abdul Njaidi akitoa elimu kwa wakazi wa Mwanza kuhusu huduma zinazotolewa na mfuko huo wakati wa zoezi la uelimishaji umma katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayofanyika viwanja vya Rock City Mall, Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad