MATEMBEZI YA KUCHANGISHA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI HAPA NCHINI YAFANA, IKIWA NI KUADHIMISHA MIAKA 50 YA NBAA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 13, 2022

MATEMBEZI YA KUCHANGISHA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI HAPA NCHINI YAFANA, IKIWA NI KUADHIMISHA MIAKA 50 YA NBAA


Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar CPA Jamal Kassim Ali ameongoza matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule za Serikali na kufunga maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 hii ikiwa ni maaadhishi ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) mwaka 1972.

Akizungumza na wadau mbalimbali wa Uhasibu CPA Jamal Kassim Ali amesema kwa niaba ya Serikali tutaendelea kuhakikisha taaluma hii inaendelea kukua lakini na wanataaluma wanaendelea kijikuza ikiwa ni kufanya kazi uweredi na Kwa ufanisi mkubwa katika kuitumikia taaluma hii ambayo ni msingi mkubwa wa kiuchumi na maendelea kwa Taifa letu.

Naamini Wahasibu na Wakaguzi ambao tupo katika sekta ya umma na sekta binafsi tutaendeleza kuikuza taaluma yetu kwa nguvu zetu ili tufanye kazi Kwa weredi mkubwa ili kujenga dhamani katika taaluma yetu.

Amesema sasa vitabu vimepatikana na hii itakuwa chachu kwa wanafunzi wanaosoma Masomo ya Uhasibu kuweza kufuata nyayo za Wahasibu kwa kuhakikisha na wao wanasoma kwa bidii ili kuja kuwa waridhi wazuri wa taaluma hiyo na wao waendeleze kuridhisha vizazi na vizazi.

Pia ametoa shukrani kwa NBAA pamoja na wadau mbalimbali kishiriki matembezi matembezi yalikuwa na lengo la kupata vitabu vitakavyoweza kutoa hamasa kwa wanafunzi wa Sekondari wanaosoma Masomo ya Uhasibu hapa nchini.

Naye Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA, CPA. Prof. Sylvia S. Temu amesema kwa niaba ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) anapenda kuwashukuru wadau wote kwa kishiriki katika matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangia vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule za Sekondari za Serikali zinazofundisha Masomo ya Uhasibu zikiwakilishwa na Kerege Sekondari kutoka Mkoani Pwani na Skuli ya Biashara kutoka Zanzibar.

Temu amesema NBAA imefanikiwa kusajili Wahasibu wapatao elfu 12,000 kati ya hao asilimia 70 ni wanaume na asilimia 30 ni wanawake pia amesema wameweza kukagua makampuni 402, kutoa ushauri kwa Serikali katika mambo yanayohusu masuala ya Kodi na pia kufanyisha mitihani ya Uhasibu.

Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno ametoa shukrani zake kwa washiriki wa maonyesho ambayo yalianza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 kwenye 'Accountancy Clinic' yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja ili kutoa Elimu kwa Wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla jinsi ya kuandaa taarifa za hesabu za Fedha, Kodi na kuwasaidia kwenye nyanja mbalimbali zinazohusu Uhasibu na ukaguzi.

Amesema NBAA imeungana na wadau wake mbalimbali kama vile makampuni ya Uhasibu na ukaguzi, Mamlaka ya Mapato, Mamlaka ya Bima, Vyuo vikuu vinavyofundisha Masomo ya Uhasibu, pamoja na mabenki katika kutoa Huduma mbalimbali katika maonyesho hayo.

Amesema yote haya yamefanyika ikiwa ni kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972 kwa mujibu wa sheria ya Wahasibu na Wakaguzi (Marekebisho) 2021. Hivyo mwamka 2022 inatimiaza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali (wa pili kulia) akiongoza matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule ikiwa ni  kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972 kwa mujibu wa sheria ya Wahasibu na Wakaguzi (Marekebisho) 2021. Wa kwnza kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu, wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno nawa kwanza kushoto ni 
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya maadhimisho ya Miaka 50 ya NBAA CPA Dr Neema Kiure
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali, Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno, Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya maadhimisho ya Miaka 50 ya NBAA CPA Dr Neema Kiure, baadhi ya wafanyakazi na wadau mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumaliza matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule ikiwa ni  kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972 kwa mujibu wa sheria ya Wahasibu na Wakaguzi (Marekebisho) 2021. 
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali akizungumza na wafanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), wadau mbalimbali wa NBAA pamoja na Wananchi kwa ujumla wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga  maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni  kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972 .
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu akizungumza na wafanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), wadau mbalimbali wa NBAA pamoja na Wananchi kuhusu namna Bodi hiyo itakavyoendelea kuwasimamia Wahasibu na Wakaguzi kwa miaka 50 ijayo wakati wa wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga  maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni  kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972 .
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akitoa salami kwa niaba ya wafanyakazi wa NBAA pamoja na kutoa hotuba fuoi kuhusu maadhimisho ya Miaka 50 ya Bodi ya NBAA wakati wa wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga  maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni  kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972 .
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya maadhimisho ya Miaka 50 ya NBAA CPA Dr Neema Kiure akizungumza kuhusu maadhimisho ya Miaka 50 ya Bodi ya NBAA pamoja na kutoa shukrani kwa mgeni rasmi Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali pamoja na wafadhili mbalimbali, washiriki wa matembezi  kwa kishiriki kwa pamoja katika maadhimisho ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali akigawa vitabu kwa baadhi ya wawakilishi wa Shule za Sekondari za Serikali zinazofundisha Masomo ya Uhasibu zikiwakilishwa na Kerege Sekondari kutoka Mkoani Pwani na Skuli ya Biashara kutoka Zanzibar  wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga  maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni  kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972 .
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali
akimvalisha medali Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972 .
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali akimpongeza mara baada ya kumvisha medali Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (​NBAA), CPA Pius A. Maneno kwa kuweza kumaliza matembezi ya hisani ya NBAA ya kilomita 5 wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972 .
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali akivalishwa medali na Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972 .
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali akiwakabidhi washiri wa maonyesho ya NBAA adhi ya washiriki wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga  maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni  kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali(katikati waliokaa ) pamoja na meza kiu wakiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali(katikati waliokaa ) pamoja na meza kiu wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Kamati ya maandalizi ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga  maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni  kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972.
Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu - Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), CPA Jamal Kassim Ali(katikati waliokaa ) pamoja na meza kiu wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wastaafu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakati wa mahitimisho ya matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule pamoja na kufunga  maonyesho ya NBAA ya 'Accountancy Clinic' yaliyoanza tarehe 10 hadi 12 Novemba 2022 ikiwa ni  kuendelea kuadhimisha miaka 50 ya NBAA tangu kuanzishwa kwake mwaka 1972.
Picha za chini ni picha mbalimbali za wadau wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakiwa kwenye matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha vitabu vya kufundishia Masomo ya Uhasibu kwa baadhi ya shule za Sekondari za Serikali 
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad