HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 20, 2022

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA TANGA

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango pamoja na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Misa Takatifu katika Kanisa kuu la Mtakatifu Anthony wa Padua Jimbo katoliki Tanga leo tarehe 20 Novemba 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na waumini wakatoliki mkoani Tanga mara baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu katika Kanisa kuu la Mtakatifu Anthony wa Padua Jimbo katoliki Tanga leo tarehe 20 Novemba 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad